Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Sheikh Mkuu wa Bagamoyo, Sheikh Abdallah Masoud Jembe, anayesumbuliwa na maradhi, wakati Makamu wa Rais alipofika nyumbani kwa Sheikh huyo, eneo la Ramiah mjini Bagamoyo, leo Nov 27, 2012 kwa ajili ya kumjulia hali.
HUU NDIO UTOFAUTI WA CCM NA VYAMA VINGINE - KIHONGOSI
-
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Komredi Kenani Labani Kihongosi,ametembelea Shina Namba 7 la CCM katika
Tawi la Many...
2 hours ago


No comments:
Post a Comment