Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimjulia hali Sheikh Mkuu wa Bagamoyo, Sheikh Abdallah Masoud Jembe,
anayesumbuliwa na maradhi, wakati Makamu wa Rais alipofika nyumbani kwa
Sheikh huyo, eneo la Ramiah mjini Bagamoyo, leo Nov 27, 2012 kwa ajili
ya kumjulia hali.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Sheikh wa Bagamoyo, Sheikh Abdallah Masoud Jembe, wakati
alipofika nyumbani kwa sheikh huyo eneo la Ramiah mjini Bagamoyo, leo
Nov 27, 2012 kwa ajili ya kumjulia hali kutokana na maradhi
yanayomsumbua sheikh huyo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed
Kipozi. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment