Pages

Saturday, November 24, 2012

FLORA MVUNGI KUYATAJA MAJINA ya WABUNGE 10 WALIO TEMBEA NA IRENE UWOYA


IRENE UWOYA
FLORA MVUNGI
MSANII WA BONGO MUVI NA BONGO FLAVA FLORA MVUNGI AMEIBUKA NA KUSEMA  ANA MAJINA 10 YA WABUNGE AMBAO WASHATEMBEA NA UWOYA .PIA
KASEMA ANA PICHA ZIKIONYESHA WAKILA RAHA NA HUYO KIMWANA.
UWOYA KAJIBU TUHUMA HIZO KWA KUSEMA MVUNGI ANA LENGO LA KUMCHAFUA ILI AONEKANE MBAYA,PIA UWOYA KAMALIZIA KWA KUSEMA MVUNGI BADO NI MTOTO SANA NA HAJUI ANALO LIZUNGUMZA.
Source-http://dartalk.com/

No comments:

Post a Comment