Pages

Friday, November 2, 2012

HABARI MUHIMU::::: MHARIRI BUSINESS TIME ASHAMBULIWA KWA RISASI




Mbani Lukanga (Mhariri wa gazeti la Business Times ) akiwa amelazwa
katika hospitali ya Muhimbili leo asubuhi alipohamishwa kutoka hospitali
ya Temeke alikolazwa jana mara baada ya kuvamiwa na kupigwa risasi hapo
jana usiku katika mtaa wa Lugoda akiwa anaelekea nyumbani kwake Mbagala
usiku wa saa mbili jioni na watu wasiojulikana.

Katika tukio hilo, alikuwa na abiria wenzake 6 ambao nao walipigwa risasi.Baadhi yao walitolewa risasi na kuruhusiwa kwenda nyumbani.

Mnaku
alipigwa risasi juu yo mdomo na risasi hiyo kutokea kwenye shavu lake la
kushoto. Bado yuko chini ya uangalizi wa madaktari.

No comments:

Post a Comment