Pages

Tuesday, November 6, 2012

HII NDIO GARI MPYA ALIYONUNUA MSANII H-BABA ANGALIA PICHA ZA NDINGA HIYO. NA HIKI NDICHO ALICHOKISEMA H-BABA KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ KUJISIFIA KUWA NA GARI KALI KULIKO MASTAA WOTE BONGO






Hii ndiyo ndinga  ambayo mkali wa Bongo fleva  ambaye pia  anafanya kweli  kwenye  muziki wa  Dansi Bongo Jamaa  anakwenda  kwa jina  la H.Baba ambayo ameivuta juzi kati   kufuatia  kusaini mkataba na  kampuni moja kuwa   ambayo sasa  ndiyo itakuwa  kila kitu kwenye  kazi zake 
  sikiliza hapo chini alichokisema  kuhusu Diamond  kujisifia  kuwa  na  gari kali kuliko mastaa wote Bongo.  





\<iframe width="560" height="315" src="http://www.youtube.com/embed/so4rT7PZtsY" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>

No comments:

Post a Comment