Wachezaji
wa Kilimanajro Stars inayoiwakilisha Tanzania Bara wakiwa mazoezini
katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza ikiwa ni maandalizi ya
mashindano ya Kombe la Tusker CECAFA Challenge yanayotarajiwa kuanza
Jijini Kampala, Uganda Jumamosi hii. Timu hii inadhaminiwa na Bia ya
Kilimanjaro Premium Lager.
No comments:
Post a Comment