Kesho ni siku ambayo yale maswali mengi tuliyokuwa tunajiuliza kuhusu
Tuhuma za wizi wa Power window zinazomuhusisha msanii kutoka katika
kundi la Weusi Lord Eyes, zitapata majibu pale ambapo Lord Eyez alienda
nje kwa dhamana akiwa na mwanasheria wake wataongea na waandishi wa
habari katika hoteli inayoitwa Wistaz iliyoko sinza kuanzia saa tano asubuhi na kuelezea mkasa wote na kinachoendelea kwa sasa
No comments:
Post a Comment