Gari aina
ya Mitsubishi Fuso lenye nambari za usajili T 612 BHY limepiga mwereka
mchana wa leo maeneo ya Tabata Matumbi kama unaelekea Ubungo kwenye
Barabara ya Mandela.Chanzo cha kutokea kwa ajali hiyo bado
hakijafahamika na hakuna mtu yeyote aliejeruhiwa wala kupoteza maisha.
Gari hiyo ikiwa imelala ubavu baada ya kupiga mweleka mchana huu.
No comments:
Post a Comment