Pages

Thursday, November 8, 2012

MWANAUME AZALIWA AKIWA NA UUME ULIOGAWANYIKA MARA NNE(4)!!TUNAOMBA RADHI KWA PICHA UTAKAZOONA


Katika hali ya kushangaza kabisa mwanaume ambaye alidiriki kuonyesha maumbile yake ya siri jinsi yalivyo aliwaacha watu HOI wakiwa na masikitiko makubwa kupindukia..... 

Amini usiamini bwana huyu amekuwa hana raha katika maisha yake yote tangu anazaliwa kwani amejikuta katika mikasa mingi ya ajabu ikiwemo kukataliwa na wanawake ambao alikuwa anawapenda kwa DHATI.
 
 Katika mahojianoo mafupi na vyombo vya habari husika bwana huyo alibainisha kuwa  hali hiyo ni ya kuzaliwa nayo na imekuwa ikimsumbua kwa muda mrefu....

Tatizo kubwa linalomuumiza kichwa ni kuwa  mpaka sasa hajui ni ipi kati ya hizo nne ambayo haswa inahusika na tendo la ndoa kwa UFANISI.

Chanzo: Gumzo la jiji

No comments:

Post a Comment