Pages

Thursday, November 1, 2012

RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AZINDUA HOSPITALI -ARUSHA



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua jiwe la  Hospitali ya Olturumeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mgonjwa, Wilson Kivuyo (80) aliyelazwa katika Hospitali mpya aliyoifungua.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mgonjwa, Wilson Kivuyo (80) aliyelazwa katika Hospitali mpya iliyoifungua ya Olturumeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.Kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha, Halifa Hidda.

No comments:

Post a Comment