Pages

Friday, November 2, 2012

Serikali Imefanikiwa Kudhibiti Maandamano Ya Wafuasi Wa Sheikh Ponda



 Baadhi ya askari wa kutuliza ghasia wakiwa wamekaa tu baada ya kuwa hawana cha kufanya kwani maandamano hayakuwepo.
 Mitaani Kariakoo leo hadi sasa saa kumi,shughuli zinaendelea kama kawaida
Askari wakipiga soga kwenye gari lao lililopaki.

Kulikuwa na jaribio la kuandamana baada ya swala hapa kariakoo,lakini limezimwa bila kusababisha taharuki kubwa,baadhi ya watu wamekamatwa na bado wanashikiliwa.kwa sasa hali ni shwari

No comments:

Post a Comment