Pages

Friday, November 23, 2012

Shaban Maranda na Mwenzake Farijala Hussein Wahukumiwa Kifungo Jela baada ya kupatikana na kosa la kughushi na kuisababishia serikali hasara ya sh. bilion 3.8



 Shaban Maranda na Farijala Hussein wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo baada ya kuhukumiwa kifungo cha kwenda jela, ambapo Maranda amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela na Farijala miaka mitatu jela baada ya kupatikana na kosa la kughushi na kuisababishia serikali hasara ya sh. bilion 3.8.
Shaban Maranda na Farijala Hussein wakipanda karandika la Jeshi la Magereza kuendelea kutumikia vifungo vyao baada ya kuhukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Maranda amehukumiwa na mahakama hiyo kifungo cha miaka miwili na Farijala miaka mitatu baada ya kupatikana na kosa la kughushi na kuisababishia serikali hasara ya sh. bilion 3.8.Picha na Habari na Mdau Dande Francis

No comments:

Post a Comment