Pages

Saturday, November 3, 2012

SIMBA WAENDELEA NA MAZOEZI MORO; OKWI AWEKA MGOMO HAFANYI MAZOEZI



okwi akiwa ndani ya basi wakati wezake wanaendelaa na mazoezi


 simba imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Jamhuri. Simba iliwasili uwanjani majira ya saa kumi na dk 20 nakusubiri polisii moro imalize mazoezi yake 
 baada ya polisi moro kumaliza mazoezi Simba na kufanya mazoezi isipokuwa Okwi aliekuwa amebaki kwenye basi hakushuka hata pale kocha wa timu hiyo alipoenda kumsihi aende kwenye mazoezi lakini hakushuka. hali hii imetokea tangu jana ambapo pia hakushuka kwenye basi kufanya mazoezi
audifacejackson blogspot iliongea na mmoja wa watu wa benchi la ufundi akasema okwi amegoma kufanya mazoezi sio kwamba ni majeruhi ni mzima kabisa lakini kuna kitu lakini tulipo mdadisi zaidi alisema hajui sababu.
 hata hivyo wachezaji wengine wapo pouwa kabisa nawalifanya mazoezi kwa pamoja na yalikuwa yakuvutia kwa wakazi wengi wa morogoro





kocha akivuta fegi


wachezaji  wakiendelea na mazoezi

Mashabiki waliojitokeza kwenye mazoezi

No comments:

Post a Comment