Pages

Sunday, November 25, 2012

SINTAH WA SINTAH.COM AFUNGUKA NA KUWAPA KUBWA KWA WASANII WANAOPENDA KUKATA MAUNO AKIANZA NA DIAMOND,OMY DIMPOZ,BOB JUNIOUR NA RICH MAVOKO HAA!



Dimondo na Ommy vibonyezo
Bob jr
Richie Mavoko
NA HIKI NDICHO KILICHOANDIKWA KWENYE WEBSITE YA SINTAH.COM
 
Kiroho safii kabisa tuambiane ukwelli, nimekuwa nikifuatilia live concert kuna moja ilikuwa imeandaliwa Maisha na nyingine Diamond,

wasanii wengi hapa Dar siku hizi wamejikita kukata mauno kwa stage na si kuimba jamani jamani utamkuta mtu anakata yake mauno huku nyimbo ikiendelea kuimba na hana habariii.
heee umekuwa Aisha madinda ama Lilian Internet kama sikosei super Nyamwela please please muwe mnafuata nyimbo basi.
tunajua mnatudanganya sana kwa kutuwekea CD sio live basi endeleeni kufuata mashairi na si kukatika ama katika pale panapostahili na si mwanzo mwisho sasa umewaweka dancers wanini yarabiii,
mtakuja kupata aibu pale mtapokuwa mnaenda ku perform nchi nyingine na watu wa mataifa tofauti please anzeni kulifanyia kazi.
hao ni baadhi ya wasanii niliowaona wana hio kasoro kuna wengi ila hao kwa macho yangu nimeona kama kuna wengine wataje.
from one n only
msema ukweli daima na haongopi

No comments:

Post a Comment