Pages

Tuesday, November 6, 2012

TASWIRA SIMBA WALIVYORUDI MAZOEZINI KINESI


Kocha Msaidizi wa Simba, Mganda Hamatre Richard (mwenye kofia) akiwapa mawaidha wachezaji wa timu hiyo kabla ya mazoezi kwenye Uwanja wa Kinesi, Urafiki, Dar es Salaam. 


Kocha Mkuu wa Simba, Mserbia Milovan Cirkovick akivuta sigara yake wakati Hamatre anazungumza na wachezaji 
Kocha wa makipa James Kisaka akiwa katika dimbwi la mawazo

Hapa wachezaji wameanza mazoezi

Kiggi Makassy kulia akifurahia na Paschal Ochieng kushoto

Baadhi ya wachezaji wa Simba wakijiandaa kuingia uwanjani

Kiggi Makassy akijiandaa kuingia uwanjani..
SOURCE BIN ZUBEIRY

No comments:

Post a Comment