MGANGA
WA KIENYEJI HUYU HAPA PICHANI, RAJABU ZUBERI(30),MKAZI WA Kerege,Muheza
Tanga, akiwa chini ya ulinzi wa wanausalama leo saa mbili asubuhi
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, baada kifaa maalum
cha upekezi kumnasa mganga huyo akiwa na vifaa hivyo vya uganga ambavyo
alikuwa amekuja navyo mahakamani hapo kwaajili ya kufanyia mambo ya
kishirikina katika kesi moja inayomkabili
mmoja wa washtakiwa mahakamani
hapo. Hongereni sana wanausalama kwa kazi nzuri ya kumnasa mtu huyo
kwani mmesaidia kuvuruga azma yake.Picha kwa hisani ya Happy Katabazi
No comments:
Post a Comment