Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, December 3, 2012

Kama Yanga wameigomea Vodacom kwa nembo yenye rangi nyekundu...!Chadema Mpoooo Hapooo


Kama Yanga wameigomea Vodacom kwa nembo yenye rangi nyekundu,basi, kuna watakaoigomea pikipiki hii kwa herufi za usajili wake, na fikiri kama mwenye pikipiki anafanya biashara ya bodadoda, na pikipiki iwe na rangi ya kijani, basi, hofu yake itakuwa ni kwapoteza baadhi ya wateja wake, hakyamungu!

No comments:

Post a Comment