Pages

Monday, December 31, 2012

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa Wamjulia Hali Padre Ambrose Mkenda aliyelazwa kwenye Hospitali ya Muhimbili


Kiongozi wa Parokia ya Mpendae Padre Ambrose Mkenda akionyesha uso wa furaha wakati akiendelea kupatiwa huduma za matibabu katika kitengo cha mifupa cha Moi katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili Mjini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Benjamini William Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa wakiteta jambo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kupita katika Wodi kumuona Kiongozi wa Parokia ya Mpendae Padre Ambrose Mkenda aliyelazwa kwenye Hospitali ya Muhimbili akipatiwa huduma baada ya kujeruhiwa kwa risasi hivi karibuni.Picha na Othman Hamisi Ame-Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar

No comments:

Post a Comment