Serengeti boys imeshindwa kufuzu kucheza fainali za kombe la mataifa ya
Afrika kwa vijana baada ya kufungwa magoli MAWILI kwa BILA na CONGO
BRAZAVILLE , mpira umemalizika
Ikumbukwe
Serengeti Boys katika mchezo wa awali hapa nyumbani wiki mbili
zilizopita iliifunga CONGO BRAZAVILLE goli MOJA kwa BILA , hivyo
imeoondoshwa kwa AGG 2-1.
No comments:
Post a Comment