Pages

Friday, January 11, 2013

ANGALIA PICHA SAKSAKA YA MAKAHABA IMEANZA RASMI JIJINI! MAKAHABA 22 MBARONI!


Jeshi la Polisi Tanzania limewakamata zaidi ya wasichana wapatao 22 eneo la Mwananyamala karibu na geti la Mwananyamala hospitali akiwemo mama mtu mzima anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 70 ambaye alikuwa anamiliki jumba lenye zaidi ya vyumba 40 ambalo utumika kufanyia ukahaba maarufu kama danguro.

No comments:

Post a Comment