Mwandishi wa habari aumia katika vurugu za kgesi mtwara zinazoendela muda
Askari wa kutuliza ghasia wakiwa tayari kutuliza fujo Mtwara kwa kile kilichoelezwa ni vurugu zinazoendelea za gesi
VURUGU
zinaendelea mjini Mtwara ambapo kwa sasa wananchi wamechoma moto vyoo
vya mahakama ya Mwanzo na kuvunja vioo vya Nyumba ya Hawa Ghasia Waziri
wa Tamisemi na Mohamed Sinani Mwenyekiti wa CCM mkoa zilizopo mtaa wa
Sinani.
Wakiwa
katika mahakama ya mwanzo Polisi walizingirwa na vijana waliokuwa
wamebeba mawe na kufunga barabara zote za kuingia na kutoka kituo kikuu
cha mabasi na soko kuu, licha ya kufyatua hewani mabomu ya machozi.
Baadhi ya barabara zimezibwa kwa kuchomwa matairi ya gari, na kuongeza hofu kwa wananchi……
........ endelea kufuatilia MTANDA HUU tutakuletea picha zaidi za hali ilivyo huko ......
No comments:
Post a Comment