Pages

Sunday, January 20, 2013

BREAKINNG NEWZZ::: AJALI YA BUS YAUA WATU WATATU MSATA


Basi lililokuwa likitoka morogoro kwenda tanga limepinduka na kusababisha vifo vya watu watu watatu papo hapo,huku dereva wa gari hiyo akifa vibaya kwa utumbo kutoka na oyo kutoka nje baada ya kuchomwa na kipande cha mti.Abiria wengine waliofariki ni dereva wa bodaboda na abiria wake wa kike,ajali hiyo imetokea eneo la msata.
SOURCE ITV

No comments:

Post a Comment