EXCLUSIVE::BOB JUNIOR APATA MTOTO WA KIUME ....... MTOTO WA BOB JUNIOR HUYU HAPA
Latest
news from Tanzanian showbiz ni kwamba mwanamuziki wa kizazi kipya Bob
Junior yeye na mkewe ambaye walifunga ndoa kimya kimya wamebarikiwa
kupata mtoto wa kiume. Mtoto mwenyewe ndiyo huyu hapa.Hongera sana kwa
wanandoa hawa....
No comments:
Post a Comment