Pages

Thursday, January 10, 2013

HUYU NDIO MREMBO AMEFANYA VIDEO YA P UNIT INYIMWE KURUKA CITIZEN TV KENYA



Mtandao wa Ghafla Kenya uliripoti siku kadhaa zilizopita kwamba video ya P Unit na Collo – ‘U guy’ imefungiwa na kituo maarufu cha TV nchini Kenya (Citizen) kutokana na kuwa na picha zinazochochea ngono na ambazo hazifai kwa kituo kama hicho, huyu ndio mrembo ambae inaaminika amesababisha hiyo video kufungiwa.
source millard ayo

No comments:

Post a Comment