Pages

Saturday, January 5, 2013

JOE COLE ARUDI NYUMBANI WEST HAM KWA UNCLE SAM




Look who's back: Joe Cole at West Ham's training ground on Thursday
Joe Cole akiwa kwenye jezi za mazoezi za West Ham mchana wa leo baada ya kufaulu vipimo vya afya.

Remember me? Cole waves to the cameras as he gets down to work at West Ham
Mshambuliaji Joe Cole amerudi katika klabu yake iliyomkuza ya West Ham akitokea Liverpool katika dirisha la usajiri la mwezi January.
Where do I sign? Cole stops for autographs for fans as he leaves the training ground

No comments:

Post a Comment