skip to main |
skip to sidebar
KAULI YA KWANZA YA DULLY, KUHUSU TUHUMA ZA BAUNSA WAKE KULAWITI
BAADA
ya tuhuma chafu zinazomkabili baunsa wa msanii Dully Sykes ,
anayefahamika kamaArafat Ngumi Jiwe, za kumlawiti mtoto, sasa msanii
huyo ameamua kuwambia mashabiki wake kuwa amesitishwa na ishu hiyo kwani
alikuwa hajui kama jamaa ana tabia hiyo chafu hivyo anawasihi
watanzania wote kujua kwamba hajui lolote juu ya hilo na kwa sasa hawezi
kuendelea kufanya naye kazi ili kujitoa kwenye ishu hiyo chafu.
Tuhuma
za baunsa huyo kumlawiti mtoto zinaweza kuwa na picha mbaya kwa msanii
huyo kwani watu wamemfahamu bausa huyo kupitia Dully, hivi sasa
anatafuta mtu mwingine ambaye anaweza kuchukua nafasi hiyo.
No comments:
Post a Comment