Pages

Saturday, January 19, 2013

KOMBE LA MATAIFA AFRIKA::BAFANA BAFANA vs CAPE VERDE HAKUNA MBABE



Timu za Bafana bafana ya Afrika Kusini na Cape Verde zimetoka uwanjani katika mchezo wao wa ufunguzi wa kuwania kombe la mataifa ya Afrika kwa kutoshana nguvu bila kufungana. Mchezo unaofuata hivi punde ni kati ya Angola na Morocco.

TeamPWLDGFGAPts
1Cape Verde Islands1001001
2South Africa1001001
3Angola0000000
4Morocco000000

No comments:

Post a Comment