Pages

Monday, January 28, 2013

Kutoka Tume ya Mabadiliko ya Katiba:Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Fredrick Werema,Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Mrisho Sarakikya Watoa Maoni Yao Juu ya Katiba Mpya









Jumapili,Januari 27,2013:Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Fredrick Werema akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya alipokutana na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam jana.Kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph Warioba.


Jumapili,Januari 27, 2013:Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Mrisho Sarakikya akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ofisi za Tume jana jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph Warioba na Makamu Mwenyekiti Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani.

Jumapili, Januari 27, 2013:Mwanasheria Mkuu Jaji Fredrick Werema (katikati) akimsikiliza Naibu Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Casmir Kyuki (kushoto) mara baada ya kuwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume.Kulia ni Mjumbe wa Tume Bw. Simai Mohammed.Picha na Tume ya Mabadiliko ya Katiba


No comments:

Post a Comment