MBUNGE Mike Sonko, Mbunge wa Makadara nchini Kenya, mwenye vioja llukuki ndani na nje ya bunge, baada ya kuingia huku
akiwa amevaa hereni maskioni, jana alionekana na kioja kingine baada
ya kuingia bungeni akiwa ameonyoa nywele mtindo wa KIDUKU na kukiandika "PEACE" katikati
WENYEVITI WA BODI /BODI ZA SEKTA YA UCHUKUZI SIMAMIENI MIRADI NA
KUHAKIKISHA INAKAMILIKA KWA MUDA NA KWA UBORA UNAOSTAHILI.
-
Na. Vero Ignatus, Arusha
Serikali imesema kuwa idadi ya mizigo inayopita Bandari ya Dar -es -salaam
kwenda nchi nyingine imeongezeka kutoka tani Million 5....
3 hours ago
No comments:
Post a Comment