Pages

Monday, January 14, 2013

Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI James Mbatia na Wabunge Wa NCCR-MAGEUZI Moses Machali (Kasulu Mjini) na Agripina Buyogela (Kasulu Vijijini) mkoani Kigoma wapigwa vyupa wakiwa jukwaani



MWENYEKITI wa NCCR Mageuzi, James Mbatia
---
MWENYEKITI wa NCCR Mageuzi, James Mbatia jana alijikuta katika wakati mgumu baada ya kulazimika kufungiwa katika ofisi ya NCCR-Mageuzi wilaya ya Mtwara Mjini kutokana na baadhi wa wananchi walioudhuria mkutano wake wa hadhara uliofanyika uwanja wa Mashujaa, kutaka kumdhuru kwa madai kwamba hawakuridhishwa na hotuba yake.

No comments:

Post a Comment