Pages

Friday, January 18, 2013

Rais Jakaya Kikwete Amjulia Hali Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi (DCI),Robert Manumba Ambae Amelazwa Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam





 
Rais Jakaya Kikwete akiongozana na Inspekta Jenerali wa Polisi katika Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumlaki Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Kamishna Robert Manumba aliyelazwa hospitalini hapo-
---
HALI ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi (DCI), Robert Manumba bado ni tete na jana Rais Jakaya Kikwete alikwenda tena ikiwa ni mara ya pili mfululizo katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam alikolazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), kumjulia hali.

No comments:

Post a Comment