RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA MKOA WA SINGIDA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitumia laptop yake kuwaonyesha viongozi mbali
mbali wa Mkoa wa Singida masuala muhimu ya maendeleo nchini,wakati
alipowasili mkoani humo jana Januari 5 kwa Ziara ya kikazi ya Siku
Mbili.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment