SERIKALI YAIPA MASAA 24 MELI IYOBEBA SHEHENA YA MAFUTA
SERIKALI IMEIPA MASAA 24 MELI AMBAYO IMEBEBA MAFUTA AMBAYO HAYAJATIMIZA KIWANGO CHAKE KWA MATUMIZI,KWA MUJIBU WA TBS NI KWAMBA MELI HIYO ILIZUILIWA KWA MARA YA KWANZA NA IKAPOTEA LAKINI BAADA YA MDA MFUPI IKAONEKANA TENA BANDARI YA DAR ES SALAAM.
No comments:
Post a Comment