Pages

Friday, January 18, 2013

SIMBA WAANDALIWA TAFRIJA NZITO NA MDHAMINI WA SAFARI YAO OMAN


Musleh Rawah akimkabidhi jezi ya timu ya simba Mdhamini wao wa safari hiyo, Bi. Rahma Al Kharusi
Kocha wa makipa wa taifa ya Oman, Haroun Amur alimkabidhi Rahma jezi ya timu ya Taifa ya Oman.
Walikula pamoja na baadaye bendi maalum kutoka Tanzania iliwapigia muziki na wakaserebuka pamoja huku Rahma akimwaga noti kama maji.
Wachezaji wakipakua Msosi ulishushwa wa kutosha
---
Usiku wa kuamkia jana Timu ya Simba iliyoko Oman kwa kambi maalum ya mazoezi waliapata mualiko wa chakula cha jioni nyumbani kwa Mdhamini wao wa safari hiyo, Bi. Rahma Al Kharusi katika makazi yake yalipo eneo la Al Kheri jijini Muscat, Oman na wachezaji pamoja na viongozi kula bata na kupta burudani ya muziki wa nyumbani.


Viongozi wa Simba walimkabidhi mdhamini huyo Jezi za Simba kama ishara ya kutambua mchango wake. Rahma alikabidhiwa jezi hiyo na Musleh Rawah

No comments:

Post a Comment