Waziri
wa Maji na Umwagiliaji Profesa Jumanne Maghembe (katikati)
akishirikiana na Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Serikali ya Misri
Prof. Dr. Mohamed Bahaa El-Din Ahmed (kulia) kukata utepe kuashiria
ufunguzi wa visima 30 katika maeneo ya wilaya sita kame, Tanzania
vilivyochimbwa kwa msaada wa serikali ya Misri uliofanyika jana katika
kijiji cha Mwanang'ombe wilayani Maswa mkoani Simiyu. Kushoto kabisa ni
Mhe. Pascal Mabiti ambaye ni mkuu wa mkoa wa Simiyu. |
No comments:
Post a Comment