Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 7, 2013

YANGA FACEBOOK FANS YAIBUTUA SABA (7) SIMBA FACEBOOK FANS KATIKA BONANZA LEO AIRWING




kikosi cha yanga kilichofanya maangamizi leo
 mchezo mkali nawakuvutia kati ya  simba facebook fan na simba facebook fans umemalizika kwa mashabiki wa Yanga kuwabutua bila huruma mashabiki wa simba kwa Goli 7-3 katika mchezo Wa bonaza la mashabiki wa vilabu vya simba na yanga kupitia mtandao wa kijami wa facebook uliopigwa katika uwanja wa airwing  ukonga katika mchezo huo yanga waliwazidi kila idara simba  yanga ilikuwa ikiongozwa na wachezaji wake hatari 1.Juma Yakuti Harrison Chadema, Korroso Samwel, Mucky's Zayumba ", Hassan Msafiri, Stanley Kulola, Khalid Lihenga, Valerian Lihega, Ombeni, Osama Yanga na.Castor Willium
kikosi cha yanga wakati wa mapumziko

No comments:

Post a Comment