Baadhi
ya waumini wa Dini ya Kiislamu wakirushwa kichura leo Katika Makao
Makuu ya Jeshi la Polisi Dar es Salaam walipokamatwa kwa tuhuma za
kuandamana kushinikiza Sheikh Ponda aachiwe kwa dhamana.
Askari
Kanzu akiwa amemkamata muumini wa Dini ya Kiislamu katika pilikapilika
za kudhibiti maandamano ya kushinikiza Mahakama imuachie kwa dhamana
Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda, Dar es
Salaam
Baadhi ya watuhumiwa wa maandamano hayo wakipandishwa kwenye gari la Polisi baada ya kukamatwa. Mmoja wa maaskari wakifunga kamba iliwaandamanaji wasiingie Makao Makuu ya jeshi hilo,
Askari wa kudhibiti ujambazi wakiwa kwenye doria kusaidia kudhibiti maandamano

No comments:
Post a Comment