HIVI NDIVYO MSANII BUIBUI ALIVYO BAADA YA AJALI NA KUVUNJIKA MIGUU TUMUOMBEE APONE HARAKA
Buibui amepata ajali ya pikipiki na kuvunjika miguu
kwa sasa amelazwa katika wodi ya kibasila pale hospitali ya taifa
muhimbili......''TUMUOMBEE APONE HARAKA''na pia tutoe sapoti ya msanii mwezetu ili aweze kupata unafuu mapema
No comments:
Post a Comment