Msemaji wa Mkuu wa Polisi nchini, Advera Senso
BOTI ya
abiria iliyokuwa ikitokea Pangani mkoani Tanga kwenda Zanzibar ikiwa na
watu 32 juzi usiku ilizama katika eneo la Nungwi, Mkoa wa Kaskazini
Zanzibar ambapo watu 10
wanahofiwa kuwa wamepoteza maisha.
Taaarifa
zilizofikia gazeti hili jana jioni zilisema kati ya abiria 27 na
wafanyakazi watano waliokuwa kwenye boti hiyo, ni watu 20 tu waliokuwa
wameokolewa wakati wengine 10 wakiwa hawajulikani walipo.
No comments:
Post a Comment