MKuu
wa Mkoa wa Rukwa , Stella Manyanya wa tatu kulia akibubujikwa
na machozi jana usiku baada ya ya Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa ,
Peter Ngusa (kulia) akiwa ameushikilia mkono ulionyofolewa hivi
karibuni kutoka kwa mwanamke mwenye ulemavu wa
ngozi (hayupo pichani) na kufukiwa poroni kijijini Miangalua wilayani Sumbawanga akiuonesha hadharani mbele ya majengo ya Hospitali ya Mkoa mjini hapa , watatu kushoto ni Mganga Mkuu wa Mkoa , Dk John Gurisha

Mmoja
wa askari akifungua majani ya mgomba
yaliyoufunga mkono ulionyofolewa hivi karibuni kutoka kwa mwanamke
mwenye ulemavu wa ngozi (hayupo pichani) na kufukiwa poroni kijijini
Miangalua wilayani Sumbawanga ambao akiuonesha hadharani mbele ya
majengo ya Hospitali ya Mkoa mjini hapa jana usiku jana Februari 14.
No comments:
Post a Comment