NEWS UPDATE::JENGO LA PPF TOWER LINAWAKA MOTO TAZAMA PICHA
PPF
Tower inawaka moto muda huu, Jengo hilo ambalo lipo makutano ya Mtaa wa
Ohio na Garden Avenue linawaka moto mkali juu kabisa, fire zimefika na
jitihada za kuuzima moto huo zinaendelea ingawa imekuwa vigumu sana
kufanikiwa kutokana na urefu wa jengo ni vitendea kazi wanashindwa
kupanda.endelea kufuatilia mtandao huuu kwa habari zaidi
No comments:
Post a Comment