Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa
la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na
Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika
Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake
yaliyofanyika jioni ya leo nje ya Kanisa hilo.
Rais Mstaafu wa awamu ya
pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mkewe Mama Sitti Mwinyi wakiweka shada la maua
kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk.
Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya
Selian,Jijini Arusha.
Rais Mstaafu wa awamu ya
tatu,Mh. Benjamin Willim Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa wakiweka shada la maua
kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk.
Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya
Selian,Jijini Arusha.
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa
wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na
Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika
Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Mke wa Marehemu Askofu
Dk. Thomas Laizer,Mama Maria Laizer pamoja na familia ya
Marehemu,wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la Askofu Dk. Thomas Laizer
aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini
Arusha.
No comments:
Post a Comment