Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini kitabu cha
maombolezo ya Askofu Thomas Laizer wa Dayosisi ya Kaskazini Kati la Kanisa la
Kiinjili cha Kilutheri Tanzania (KKKT) leo, Alhamisi, kwenye Kanisa Kuu la KKKT
mjini Arusha kabla ya kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Askofu.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za
mwisho kwa mwili wa Askofu Thomas Laizer wa Dayosisi ya Kaskazini Kati la
Kanisa la Kiinjili cha Kilutheri Tanzania (KKKT) leo, Alhamisi, kwenye Kanisa
Kuu la KKKT mjini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Askofu Thomas Laizer wa
Dayosisi ya Kaskazini Kati nyumbani kwa Askofu mara baada ya kuwa ametoa heshima
zake za mwisho kwa mwili wa marehemu kwenye Kanisa Kuu la KKKT mjini Arusha
leo, Alhamisi, Februari 14, 2013. Picha zote na Fredy Maro wa Ikulu
No comments:
Post a Comment