Pages

Monday, February 4, 2013

SHUHUDIA PICHA MBALIMBALI ZA VURUGU ZA WANACCM NA WAFUASI WA CHADEMA MKOANI DODOMA

Wafuasi wa CCM wakigombea mlingoti wa kusimika bendera na wafuasi wa Chadema katika eneo la Mwanga Baa, mkoani Dodoma jana. Wa pili kulia ni Mbunge wa Tabora Mjini (CCM), Ismail Aden Rage.
Wafuasi wa CCM wakimtoa nduki mfuasi wa Chadema, Arnold Swai, wakati wa vurugu zilizotokea eneo la Mwanga Baa, mkoani Dodoma jana wakati CCM wakifanya mkutano ambao ni sehemu ya sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa…
Wafuasi wa CCM wakigombea mlingoti wa kusimika bendera na wafuasi wa Chadema katika eneo la Mwanga Baa, mkoani Dodoma jana. Wa pili kulia ni Mbunge wa Tabora Mjini (CCM), Ismail Aden Rage.
Wafuasi wa CCM wakimtoa nduki mfuasi wa Chadema, Arnold Swai, wakati wa vurugu zilizotokea eneo la Mwanga Baa, mkoani Dodoma jana wakati CCM wakifanya mkutano ambao ni sehemu ya sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwake.
WanaChadema na wafuasi wa CCM wakigombea mlingoti wa bendera jana mkoani Dodoma.
Mbunge wa Tabora Mjini (CCM), Ismail Aden Rage na wenzake wakimnyang'anya mlingoti mfuasi wa Chadema, Arnold Swai, wakati wa vurugu hizo.
PICHA KWA HISANI YA MZEE WA MSHITU BLOG

No comments:

Post a Comment