Francis
Joseph Nyerere, ambaye ni kitindamimba wa Mzee Joseph Nyerere,
amepandisha bendera ya Chadema nyumbani kwao, Mwananyamala jijini Dar es
Salaam. Katika picha hii ni wa kwanza kushoto mwa bendera. Kushoto
kwake ni Mpiganaji Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa Tawi hilo. Francis anaungana na Vincent ambaye ni mbunge wa Musoma Mjini (Chadema).
TUME YATOA NENO KWA WAENDESHA VIFAA VYA BVR TANGA, PWANI
-
*Na Mwandishi wetu, Tanga*
*Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka waandishi wasaidizi na waendesha
vifaa vya Bayometriki kutoa huduma bora kwa wananchi ...
12 hours ago
No comments:
Post a Comment