Pages

Sunday, February 3, 2013

Taswira:Mtoto Mwingine Kutoka Familia ya Nyerere Ajiunga na Chadema Leo ni Francis Joseph Nyerere



Francis Joseph Nyerere, ambaye ni kitindamimba wa Mzee Joseph Nyerere, amepandisha bendera ya Chadema nyumbani kwao, Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Katika picha hii ni wa kwanza kushoto mwa bendera. Kushoto kwake ni Mpiganaji Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa Tawi hilo. Francis anaungana na Vincent ambaye ni mbunge wa Musoma Mjini (Chadema).

No comments:

Post a Comment