Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, March 13, 2013

HATARIIII...VIDEO YA MIKAKATI YA CHADEMA WAKIPANGA MAUAJI YA WAANDISHI WA HABARI

- Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Willfred Lwakatare akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi wa habari - CHADEMA wanatakiwa kutufafanulia watanzania, hii ni mikakati yao au wanachafuliwa? - Serikali na vyombo vya Usalama watuambie watanzania, kwanini watu hawa bado hawajachukuliwa hatua? - Kama video hii ni fake, mhusika (Lwakatare) anafahamu nani aliandaa video hii, awape ushirikiano polisi kumtia nguvuni mwandaaji kwa uchochezi! HII NDO VIDEO YENYEWE

No comments:

Post a Comment