INASIKITISHA: MCHOMA MKAA ACHINJWA KAMA KUKU MVOMERO TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ZITAKAZOONEKANA.
MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Gole
John 'Moto' Mkazi wa kitongoji cha Lumanile eneo la Wami Dakawa Wilaya
ya Mvomero Mkoani hapa amechinjwa kama mbuzi na watu wasiojulikana.
No comments:
Post a Comment