Pages

Friday, March 15, 2013

JUMUIYA YA UAMSHO YAZIDI KUCHOCHEA UVUNJIFU WA AMANI, YATOA MANENO YA KICHOCHEZI DHIDI YA SHEIKH ISSA SIMBA NA UKRISTU. HIKI NDICHO WALICHOKISEMA



Huo ndio ujumbe ulioandikwa na jumuiya ya uamsho zanzibar, ukiwa na lugha za kichochezi dhidi ya ukristu. Kutokana na ujumbe huo kuna maneno yanayowaita wakristu hasa wa dini ya katoliki kua na makafiri na Sheikh Simba kaungana na makafiri yani wakristu na kuuacha uislam. Mimi nikiwa kama admia wa Bongoclantz.com nimesikitishwa na maneno hayo ukizingatia ya kua kila siku tunapiga kelele kuhusu amani  na huku kuna watu kama hawa wanaochochea uvunjifu wa amana katika nchi yetu. kilichonisikitisha ni kua kuna baadhi ya watanzania waliochangia post hiyo kutoa maoni yanayodhihilisha kua endapo siku itatokea vita kati ya dini hizi mbili yuo tayari kumkata mtu wa dini tofauti na yake mapanga na kufa. Nashindwa kuelewa serikali ipo wapi kuifunga account hii?

HAYA NI BAADHI YA MAONI YENYE KUONYESHA CHUKI DHIDI YA SHEIKH SIMBA

1 comment:

  1. Unajua haya mambo yapo sana haswa uko zanzibar sio kwa ukristo tu hadi kwa ubara na uzanzibar hakuna upendo kabisa uko kisiwani kwa wenzao kutoka Bara wakati uku Bara hakuna ujinga kama huo na hao hao ndio wanawatia vijiti waislam wa uku Bara wawe na tabia chafu kama zao kwa kuwatenga wakristo wakati mambo haya yarikua hakuna uku Bara yalikua huko zanzibar na nashangaa uku wanaishi kwa amani na starehe hawabaguriwi kimaisha hata kindoa wanaoa kila wakipenda lkn nenda zanzabar mtihani mtupu utaitwa kila jina la kukashifiwa serikali wanariangalia hili bila kuripatia ufumbuzi hipo siku wakristo na wabara watachachamaa sijuhi watajkimbia vipi kuvuka bahari?

    ReplyDelete