Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, March 16, 2013

LIVE MATCH CENTRE: YANGA SC VS RUVU SHOOTING


 
  Mpira umekwishaaa hapa Yanga 1 Ruvushooting 0
DK 40 hapa canavaro yupo chini baada ya kupigwa na mpira sehemu nyeti
Nizar Khalfan Anatoka nje kaumia anaingi kavumbagu
Kona nyingine hapa tena inapigwa lakini inaokolewa hapa yanga wamepata kona tatu kwa mfululizooo
Kona nyingineeeee ahhhhhhhhhhhhh wanakosa goli hapa yangaaaa
 Kona anapiga haruna niyonzima
Dk 12 mchezaji wa RUvu anaanguka chini pale
SUB paul ndauka anaingi Tepo anatoka nje
Kiiza anakosa goli la waziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
DK 2 kipindi cha pili hamis kiiza naandika bao lakwanzaaa
kipindi cha pili kimeanzaaaa
Half time na Yanga 0 Ruvu Jkt 0
 Dk 45 mpira umesimama hapa 
Dk 39 kona inapigwa kuelekea yanga
Dk ya 38 mpira wa kurusha
Dk 23 Mbuyu Twite wa Yanga anachezewa faulo na Said Dilunga.

Dk 22 Cannavaro anamchezea rafu Said Dilunga wa Ruvu.

Dk 19 Yanga imeongeza mashambulizi langoni kwa Ruvu. YANGA 0-0 RUVU.

DK 15, Ruvu Shooting 0-0 Yanga

Dk 10 Beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' amemchezea faulo Abrahman Musa wa Ruvu. Timu zinashambuliana kwa zamu.

Dk 8 Kipa wa Yanga, Ally Mustapha 'Barthez' anapangua shuti kali la Michael Aidan wa Ruvu lililopigwa kutoka nje ya eneo la hatari.

Dk 7 Frank Domayo wa Yanga anachezewa faulo na Ayoub Kitala wa Ruvu.

Dk 4 Hamis Kiiza wa Yanga anapiga shuti kali langoni kwa Ruvu akiunganisha pasi ya Nizar Khalfani lakini kipa Benjamin Haule anaudaka mpira.

Mpira ndio umeanza hapa Uwanja wa Taifa kati ya Ruvu Shooting Vs Young Africans

Wachezaji wa timu zote na watazamaji wamesimama kwa dakika moja kuomboleza kifo cha kocha na mchezaji wa zamani wa Pan African marehemu mzee Athuman Chilambo.

Young Africans line-up to face Ruvu Shooting today:
1.Ally Mustafa 'Barthez'
2.Juma Abdul
3.Oscar Joshua
4.Nadir Haroub 'Cannavaro'
5.Mbuyu Twite
6.Athumani Idd 'Chuji'
7.Saimon Msuva
8.Frank Domayo
9.Nizar Khalfani
10.Hamis Kiiza
11.Haruna Niyonzima

Subs:
1.Said Mohamed
2.Shadrack Nsajigwa
3.David Luhende
4.Nurdin Bakari
5.Said Bahanuzi
6.Jerson Tegete
7.Didier Kavumbagu

RUVU SHOOTING: Benjamin Haule,
Michael Aidan,
Mau Bofu, I
brahim Shaban,
Mangasini Mangasini,
 Gideon Tepo,
Ayoub Kitala,
Ernest Ernest,
Hassan Dilunga,
Said Dilunga,
Abrahman Musa

No comments:

Post a Comment